У нас вы можете посмотреть бесплатно Mercy Masika - Shule Yako (NIFUNZE) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Teach me your ways oh Lord that i may enjoy the goodness of the Lord all the days of my life, teach me to number my days. Dial *811*45# Song: Shule Yako (Nifunze) Artist: Mercy Masika Audio: Teddy B Video: Steve Hunter Year: 2017 MERCY MASIKA CONTACTS Email - [email protected] Facebook - / mercymasikake Twitter - / mercymasika Instagram - / mercymasikamuguro Website - https://www.mercymasika.com SHULE YAKO LYRICS. Baba nichukue, nifunze, nataka kusoma, kwa shule yako, kwa shule yako, nichukue, nifunze, nataka kusoma, kwa shule yako, kwa shule yako. Verse 1 Nikiwa nawe kama mwalimu, ninajua nitahitimu, nitashinda adui, akileta majaribu, unitayarishe, unibadilishe, mtihani nipite, mwito nitimize, nijue kuandika, niandike maono yangu, nijue kuhesabu, nihesabu baraka zako, nijue kuongea, nihubiri neno lako oh, kwa watu wako. [refrain] Baba nichukue, nifunze, nataka kusoma, kwa shule yako, kwa shule yako nichukue, nifunze, nataka kusoma, kwa shule yako, kwa shule yako. Verse 2 Shule yako hatudanganyi, ni ukweli na uwazi, wanafaunzi hawagomi, mwalimu atujali, unifunze mipango, wote niwaheshimu, Yesu ni mwalimu, Yesu ni mwalimu nijue kuandika, niandike maono yangu, nijue kuhesabu, nihesabu baraka zako, nijue kuongea, nihubiri neno lako oh, kwa watu wako. [refrain] Baba nichukue, nifunze, nataka kusoma, kwa shule yako, kwa shule yako nichukue, nifunze, nataka kusoma, kwa shule yako, kwa shule yako Baba nichukue, nifunze, nataka kusoma, kwa shule yako, kwa shule yako nichukue, nifunze, nataka kusoma, kwa shule yako, kwa shule yako.