У нас вы можете посмотреть бесплатно PART 1: UJANGILI WA WANYAMAPORI TANGA NA KILIMANJARO, TAWA WAFUNGUKA WANAVYOTHIBITI... или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Meneja Mhifadhi wa ikolojia wa Mikoa ya Kilimanjaro na Tanga wa TAWA , Mhifadhi Lackson Mwamwezi Amesema kwamba ofisi yake imefanikiwa kuthibiti kwa kiwango kikubwa wimbi la Ujangili wa Wanyamapori unaofanywa na baadhi ya watu wakubwa katika Maeneo ya hifadhi Tengefu za Mikoa hiyo. Meneja huyo ambae pia ni Kamanda wa ikolojia wa Maeneo hayo Ameyasema hayo wakati alipokua Akizungumza na WASAFI MEDIA katika ofisi za Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) ,Kanda ya kaskazini juu ya vitendo vya Ujangili vilivyo kwa Sasa. PART 1: UJANGILI WA WANYAMAPORI TANGA NA KILIMANJARO, TAWA WAFUNGUKA WANAVYOTHIBITI... WATCH WASAFI TV📺 AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113 LISTEN WASAFI FM 📻 88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻 Follow Us On: INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm TWITTER: / wasafitv || / wasafifm FACEBOOK: / wasafitv 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. #wasafi #wasafitv #wasafifm