У нас вы можете посмотреть бесплатно IBADA YA JUMAPILI | SIKUKUU YA MITENDE или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
-Ni sikukuu ya mitende jumapili ya Tar 14 mwezi wa nne, 2025 ibada ya USCF UDOM CHAPLAINCY iliyoongozwa na mratibu wa CCT TAIFA MCH. DAVID KALINGA pamoja na CHAPLAIN WA UDOM CHAPLAINCY MCH. TIMOTH CHIMELEDYA. Ibada hii iliambatana na matukio yafuatayo: 1. Kurudisha wakristo kundini. 2. Ubatizo wa watoto 3. Kuvishana pete ya uchumba kati ya ndugu Emmanuel na Leonia wa USCF CoED 4. Kuapishwa kwa walezi na viongozi wa CCT USCF UDOM CHAPLAINCY 5. Kugawa zawadi kwa walezi na mchungaji wa CCT USCF UDOM CHAPLAINCY pamoja na kwa mratibu wa CCT TAIFA. -Kwa sasa CCT USCF UDOM CHAPLAINCY imepata waalimu ambao watakuwa walezi katika vitivo vyake pamoja na watakaokuwa viongozi katika nyadhifa muhimu za juu kwenye uongozi wa Chaplaincy. *Dr. Siamini Kapesa ni mlezi wa katika kitivo cha USCF UDOM SOCIAL SCIENCE *Dr. Kashaigiri ni mlezi katika kitivo cha USCF UDOM TIBA *Dr. Jane Mghendi ni mlezi katika kitivo cha USCF COED pia ndiye mwenyekiti wa mipango na fedha katika Chaplaincy ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) *Dr. Agnes Lema amekuwa katibu mkuu wa UDOM-CHAPLAINCY. *Dr. Chaula ndiye mlezi wa CCT USCF UDOM CHAPLAINCY. Kwa ujumla wao tuwatakie majukumu mema katika kuitenda kazi ya BWANA.