У нас вы можете посмотреть бесплатно Zanzibar— Dondoo za Sheria na Taratibu za Uekezaji или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Katika sehemu hii ya utangulizi (sehemu ya 1) ya mfululizo wa video hizi, nimeweka msingi wa yale yatakayokuja katika sehemu zinazofuata. Video hizi zinalenga kuwaelimisha wawekezaji na wajasiriamali juu ya mahitaji ya kisheria na taratibu za uekezaji hapa Zanzibar. Kama nilivyoelezea katika video hii, ninatarajia kukupitisheni katika hatua zifuatazo : - 2. Jinsi ya kutambua fursa za uwekezaji Zanzibar 3. Usaji wa biashara kwa mujibu wa Sheria za Zanzibar 4. Maombi ya cheti cha idhini ya uwekezaji 5. Maombi/upatikanaji wa eneo la uekezaji 6. Maombi ya leseni za biashara na vibali mbali mbali Asanteni kwa kutazama na tafadhali usisahau ku subscribe Chanel yangu ili usikose video zangu zinazokuja. #BeGuidedByTheLaw [14:38, 17/08/2020] Ir Alkan: allykana