У нас вы можете посмотреть бесплатно Tanzania yanunua kinu cha nyuklia kupambana na saratani, ndege ya mafuta Marekani ikianguaka Iran. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
MSETO PLUS: Unayopaswa kuyafahamu leo Machi 13, 2026. 01. Kampuni ya mawasiliano ya simu Vodacom Tanzania itakua mdhamini mkuu wa Kongamano la Uwekezaji Africa Mashariki 2026 (EAIF 2026) litakalojadili namna ya kuendeleza uchumi wa kidijitali wa ukanda huo. 02. Serikali ya Tanzania imepiga hatua kubwa katika mapambano dhidi ya saratani baada ya kununua kinu cha nyuklia kwa ajili ya mashine maalumu ya PET/CT Scan, kinachotajwa kuwa kikubwa kuliko vyote katika ukanda wa Afrika Mashariki na Afrika ya Kati. 03. Ndege ya kijeshi ya Marekani ya kujaza mafuta angani aina ya KC-135 Stratotanker imeanguka magharibi mwa Iraq wakati ikishiriki operesheni ya kijeshi inayohusishwa na mvutano dhidi ya Iran, huku juhudi za uokoaji zikiendelea.