У нас вы можете посмотреть бесплатно JE, WAJUA! TANGANYIKA NI JINA LA WAKOLONI? или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
DAR ES SALAAM - UTAWALA wa Wajerumani ulikoma Tanganyika (Tanzania Bara) baada ya kushindwa katika Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia mwaka 1914 hadi 1918. Tangu mwaka 1919 eneo la Tanganyika likaangukia mikononi mwa Waingereza chini ya udhamini wa Shirikisho la Mataifa na baadaye Baraza la Udhamini la Umoja wa Mataifa. Chini ya utaratibu huo, Tanganyika haikuwa koloni kamili, bali nchi iliwekwa chini ya mamlaka ya kiutawala ya Uingereza. Kwa mujibu wa taarifa iliyochapishwa kwenye Kitabu cha Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru, chini ya utawala wa Kijerumani, Tanganyika iliitwa Deutche Ost - Afrika ambayo kwa tafsiri isiyo rasmi ni Afrika Mashariki inayomilikiwa na Ujerumani. Mwandishi John Nditi/Msimulizi Ismaily Kawambwa Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: / spotileo-176. . HabariLeo: / habarileo DailyNews: / dailynewstz INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09