У нас вы можете посмотреть бесплатно DURU ZETU ALASIRI: MKANDARASI SHINYANGA ABANWA KISA MADENI YA WAFANYA KAZI | 06.03.2026 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
DURU ZETU ALASIRI: Habari kuu jioni ya leo kitaifa, kimataifa, Ujumbe pitia Waza Wazua, Uchumi na biashara pamoja na na Dondoo za Michezo bila kusahau maoni yako kupitia 0710 977 977 Tuliyonayo alasiri ya leo.…… Watendaji wa vijiji na Kata halmashauri ya wilaya Mkoani Kigoma watakiwa kusoma mapato na matumizi katika maeneo yao. Mkandarasi anayetekeleza ujenzi wa mradi wa stendi ya kisasa eneo la Katunda, Manispaa ya Shinyanga atakiwa kuwalipa wafanyakazi fedha wanazodai. NA Bunge la Somalia lapiga kura ya kuifanyia mageuzi katiba ya nchi hiyo. #rkduruhabari #radiokwizera #2026aminia ------------------------------------------------------------------------------------------------------- Radio Kwizera Ngara Kagera Tanzania | Unaweza kuisikiliza Radio Kwizera kwa masafa mbalimbali: 97.7 KAGERA, MWANZA & GEITA | 93.7 KIGOMA | 89.5 SHINYANGA Unaweza kusikiliza kwa njia ya mtandao kwa kubofya link hapo chini https://radiokwizera.co.tz/ LIKE | FOLLOW | SUBSCRIBE | COMMENT | SHARE © All Rights Reserved to JRS Radio Kwizera 1995-2026