У нас вы можете посмотреть бесплатно Yaliojiri katika mkutano EAC | Uhaba wa fedha kikwazo katika uendeshaji shughuli za Bunge la EAC или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mchambuzi wa masuala ya siasa na jamii, Deus Kibamba, amesema kuwa uhaba wa fedha ni miongoni mwa changamoto kubwa zinazoikabili Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), hali inayochangia kupungua kwa nguvu ya jumuiya hiyo katika kutekeleza majukumu yake. Amesema changamoto hiyo husababisha shughuli na mipango mbalimbali ya jumuiya kukwama au kuchelewa kutekelezwa kutokana na kukosekana kwa rasilimali za kifedha za kutosha. Aidha, amesisitiza kuwa ni muhimu kwa wafanyakazi na watumishi wa jumuiya hiyo kulipwa stahiki zao kwa wakati, kwa kuwa wao ndio watendaji wakuu wa shughuli za kila siku za jumuiya. Akieleza kuwa wanapokosa malipo yao, utendaji kazi hupungua na shughuli nyingi hushindwa kuendelea ipasavyo.