У нас вы можете посмотреть бесплатно AFARIKI KWA AJALI YA GARI BABATI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mwanaume mmoja amefariki dunia huku wengine wawili wakijeruhiwa baada ya lori aina ya Scania lenye namba za usajili T 859 ASR kupinduka katika Kijiji cha Sigino, wilayani Babati, mkoani Manyara. Ajali hiyo imetokea usiku wa kuamkia jana, Septemba 9, 2025, majira ya saa sita usiku, wakati gari hilo likitokea Wilaya ya Hanang’ kuelekea mkoani Arusha. Scania hiyo ilikuwa imebeba mazao mbalimbali yakiwemo mahindi, mbaazi na dengu. Kwa mujibu wa Kaimu Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara, Dkt. Mathias Kimaro, hospitali hiyo imepokea mwili wa mwanaume mmoja pamoja na majeruhi wawili wanaume. Taarifa zinaeleza kuwa marehemu alikuwa ni mtu aliyekuwa akiomba lifti kwenye gari hilo, huku majeruhi wakiwa ni dereva na abiria mwingine.