У нас вы можете посмотреть бесплатно Ibada Ya Lunch Hour 27 - 01 - 2026 | Mt Israel Mmali или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Karibu katika Ibada ya Mchana kutokea hapa kanisa Kuu Azania Front Posta Dar Es Salaam SOMO: OMBA MUNGU BARAKA YAKE IWE JUU YAKO NA UZAO WAKO ~ MITHALI 10:22 22. Baraka ya BWANA hutajirisha, Wala hachanganyi huzuni nayo. .......................... MADA : ▶️ BARAKA YA BWANA HUTAJIRISHA Kumbukumbu la Torati 8:18 18. Bali utamkumbuka BWANA, Mungu wako, maana ndiye akupaye nguvu za kupata utajiri; ili alifanye imara agano lake alilowapa baba zako, kama hivi leo. 3Yohana 1:2 2. Mpenzi naomba ufanikiwe katika mambo yote na kuwa na afya yako, kama vile roho yako ifanikiwavyo. Mithali 8:18 18. Utajiri na heshima ziko kwangu, Naam, utajiri udumuo, na haki pia. Mithali 26:2 2. Kama shomoro katika kutanga-tanga kwake, Na kama mbayuwayu katika kuruka kwake; Kadhalika laana isiyo na sababu haimpigi mtu. Kumbukumbu la Torati 28:1-2 1. Itakuwa utakaposikia sauti ya BWANA, Mungu wako, kwa bidii, kutunza kuyafanya maagizo yake yote nikuagizayo leo, ndipo BWANA, Mungu wako, atakapokutukuza juu ya mataifa yote ya duniani; 2. na baraka hizi zote zitakujilia na kukupata usikiapo sauti ya BWANA, Mungu wako. MWANZO 32: 14 - 15 14. Mbuzi wake mia mbili, na mbuzi waume ishirini, kondoo wake mia mbili, na kondoo waume ishirini; 15. Ngamia wanyonyeshao thelathini pamoja na wana wao, ng’ombe wake arobaini na mafahali kumi; punda wake ishirini na wana wao kumi. 31. Jua likamzukia akivuka Penueli, akachechemea kwa sababu ya paja la mguu wake. 32. Kwa hiyo wana wa Israeli hawali ule mshipa ulio katika uvungu wa paja hata leo; maana alimgusa Yakobo panapo uvungu wa paja katika mshipa wa kiuno. 1 NYAKATI 4: 9 - 10 9. Naye Yabesi alikuwa mwenye heshima kuliko nduguze; na mamaye akamwita jina lake Yabesi, akisema, Ni kwa sababu nalimzaa kwa huzuni. 10. Huyo Yabesi akamlingana Mungu wa Israeli, akisema, Lau kwamba ungenibarikia kweli kweli, na kunizidishia hozi yangu, na mkono wako ungekuwa pamoja nami, nawe ungenilinda na uovu, ili usiwe kwa huzuni yangu! Naye Mungu akamjalia hayo aliyoyaomba. ...................................................................................................................................... 👇👇👇 KWA MAOMBI NA USHAURI : ☎️ +255 748 290 290 MCH. VICTOR MAKUNDI // NAMBA ZA SADAKA // ▶ LIPA KWA [ M-PESA ] - 579 579 4 ▶ NAMBA YA MPESA - 0757 - 391 - 174 JINA: KKKT AZANIA FRONT CATHEDRAL ▶ MAENDELEO BANK A/C NO 0137 9274 6021 JINA: LUTHERAN CHURCH AZANIA FRONT CATHEDRAL TUFUATILIE KWENYE MITANDAO KWA TAHARIFA ZAIDI: Instagram page: / kkkt_azaniafront_cathedral Website: https://www.azaniafront.org/ Facebook: / kkkt-azania-front-cathedral-101434162039079 #azaniafrontcathedral #morningprayer #lutheran ........................