У нас вы можете посмотреть бесплатно ANGALIZO LA TCU KWA WAOMBAJI WA VYUO "HAKUNA KUBAHATISHA" или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), Profesa Charles Kihampa amezungumzia wahitimu wanaohitaji maombi ya Vyuo vya Elimu ya Juu kuzingatia umakini katika uombaji kwa sababu hakuna kubahatisha. Prof.Kihampa amesema wanaoomba maombi hayo wanapaswa kuomba kupitia tovuti za vyuo husika na yatafanyika kwa njia ya Elektroniki. "Wanatakiwa kusoma miongozo inayotakiwa, hivyo waombaji wasome kwa umakini kwani hapa hakuna kubahatisha na asijaribu kuomba kwani hawatopata, hivyo waombaji waingie katika vyuo husika,"