У нас вы можете посмотреть бесплатно ESTER BULAYA AELEZA HATUA ZA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO YA MAJI BUNDA MJINI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mbunge wa Bunda Mjini, Ester Bulaya, amesema ameendelea kushughulikia changamoto ya maji katika jimbo lake tangu alipoomba kura kwa wananchi, akisisitiza kuwa upatikanaji wa maji safi na salama ni kipaumbele chake kikuu. Ametoa kauli hiyo wakati wa uzinduzi wa maadhimisho ya Wiki ya Maji kimkoa uliofanyika Mtaa wa Kisangwa, Kata ya Mcharo, Wilaya ya Bunda, ambapo aliweka jiwe la msingi katika mradi wa maji unaolenga kuboresha huduma hiyo kwa wakazi wa eneo hilo.