У нас вы можете посмотреть бесплатно MHE. FRED LOWASSA AWASISITIZA WANACHI WA SELELA KUCHANGAMKIA FURSA ZA MIRADI MIKUBWA YA MAENDELEO. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mhe Fred Lowassa, Mbunge wa Jimbo la Monduli, ameungana na Viongozi wengine wa Wilaya ya Monduli na wananchi wa Kata ya SELELA kuongoza Harambee ya Kikundi cha WakinaMama cha NAMNYAK wa Kitongoji wa Nadosoito, Kijiji cha SELELA na kufanikiwa kupatikana Tsh 7.6M Mbunge amewapongeza WakinMama hao kwa mwamko wao na kuwasisitiza kuichangamkia miradi mikubwa inayoletwa kwa maeneo ya Selela na Na Rais wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan, ya 1.7Trillioni za Viwanda vya MagadiSoda Engaruka, 17.7BN za Skimu za Umwagiliaji za Bonde la MtowamBu na Barabara ya LAMi inayoanza kutokea Kigongoni mpaka Selela.