• ClipSaver
  • dtub.ru
ClipSaver
Русские видео
  • Смешные видео
  • Приколы
  • Обзоры
  • Новости
  • Тесты
  • Спорт
  • Любовь
  • Музыка
  • Разное
Сейчас в тренде
  • Фейгин лайф
  • Три кота
  • Самвел адамян
  • А4 ютуб
  • скачать бит
  • гитара с нуля
Иностранные видео
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

Salama Na MSIGWA SE6 EP01 FULL SHOW | SEMA PART 2 | SendTip Through MPESA LIPA NO 5578460 скачать в хорошем качестве

Salama Na MSIGWA SE6 EP01 FULL SHOW | SEMA PART 2 | SendTip Through MPESA LIPA NO 5578460 3 года назад

скачать видео

скачать mp3

скачать mp4

поделиться

телефон с камерой

телефон с видео

бесплатно

загрузить,

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Salama Na MSIGWA SE6  EP01 FULL SHOW | SEMA PART 2 | SendTip Through MPESA  LIPA NO 5578460
  • Поделиться ВК
  • Поделиться в ОК
  •  
  •  


Скачать видео с ютуб по ссылке или смотреть без блокировок на сайте: Salama Na MSIGWA SE6 EP01 FULL SHOW | SEMA PART 2 | SendTip Through MPESA LIPA NO 5578460 в качестве 4k

У нас вы можете посмотреть бесплатно Salama Na MSIGWA SE6 EP01 FULL SHOW | SEMA PART 2 | SendTip Through MPESA LIPA NO 5578460 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Скачать mp3 с ютуба отдельным файлом. Бесплатный рингтон Salama Na MSIGWA SE6 EP01 FULL SHOW | SEMA PART 2 | SendTip Through MPESA LIPA NO 5578460 в формате MP3:


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



Salama Na MSIGWA SE6 EP01 FULL SHOW | SEMA PART 2 | SendTip Through MPESA LIPA NO 5578460

#SalamaNa #SendTip Through MPESA #5578460 Support us through https://anchor.fm/yahstonetown/support SUBSCRIBE TO OUR CHANNEL https://bit.ly/YahStoneTownSubs #SalamaNaMsigwa ndo kifungua pazia cha msimu mpya wa kipindi chetu hiki baada ya kukaa nje kwa takriban miezi mitano, ndani ya hiyo miezi mitano tulipata kujifunza mengi yalojaa baraka na mengi pia yametokea ambayo yananifanya binafsi niendelee kujifunza kwa kadiri siku zinavyoenda na kwa hilo sina budi kumshukuru Mwenyezi Mungu alojaa Rehema nyingi sana. Ukiachana na yangu na ya wenzangu, kwenye maisha ya huyu mgeni wetu nambari moja naye pia mengi yametokea kwa upande wake, kwenye maisha yake, haswa kwa upande wa kazi. Kwa mtu ambaye alikua Mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais Ikulu, mpaka kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali kwa kipindi kisichozidi miezi mitano nacho pia si kitu kidogo, na pengine kwa kipindi kile ambacho tulisema nasi tunachukua breki yeye pia hakuwahi kufikiria kama angekua kwenye nafasi hii alonayo sasa. Kweli jambo usilolijua ni kama usiku. Gerson Partinus Msigwa, kutoka Songea kwenye familia ya kawaida tu ambaye mapenzi yake makubwa ya kazi yake na kujitolea kwingi ndo kumemfanya afike hapo alipo. Haikua kazi rahisi wala, au ya siku moja, au pengine aliona haya yataweza kuja kutimia siku moja, at least kutoka kwenye khadithi aliyonipa kweye meza yetu. Kabla ya TBC Songea Mr Msigwa kazi yake ilikua ni kilimo tu kama kijana wa kawaida ambaye anakua na kuona wazazi wake wako shambani, hakua na ndoto kubwa, hakua malengo ya siku moja kuwa ndani ya Land Cruiser au kuwa na ukaribu na marais kadhaa wa nchi hii. Kazi yenyewe aliipata baada ya kuambiwa na mtu kwenye familia yao kwamba kuna tangazo la kazi ya Radio. Hakufanya ajizi akaenda, alikutana na watu kadhaa katika usaili ila mwisho wa siku yeye na ambaye ndo mke wake wa sasa ndo walibahatika kuchukua nafasi hizo mbili na mengine yamebaki historia. Aliwahi kufanya kazi ya kujitolea kwa muda tu, na huo pia ndo wito wake wa vijana ambao ndo wanatafuta kazi kwa sasa, wimbo huu anasema amekua akiuimba kwa kipindi sasa, kutaka wawe wanajitolea baada ya kutaka kupata ajira za moja kwa moja huku wakiwa pengine hata uzoefu hawana. Anaamini (hata mimi pia) kwamba kwa mmoja kujitolea huko kutaweza kufungua nafasi ya kupata elimu, kuonekana na pengine kuaminiwa na mwisho wa siku kuipata hiyo ajira moja kwa moja. Kitu ambacho vijana wengi wa leo wamekua wazito kukifanya. Safari yake ilianzia kwa Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete kipindi kile yeye ndo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kama mas’hara tu baada ya kukutana nae kwenye kazi, Mkuu alitoa agizo la yeye kuvutwa Ikulu na aanze kufanyia kazi pale. Hakurudi tena Songea, hata familia yake ilibidi ije yenyewe hapa Dar es Salaam, just like that mambo yote yakabadilika. Kutoka kwa JK, kuja kwa Marehemu Rais John Pombe Magufuli na mpaka kwa Rais wa sasa Ndugu Samia Suluhu Hassan ambaye alimbadilishia nafasi yake aliyokua akiishika kipindi ya JPM na kumpa hii alonayo sasa ambayo yeye ndo bosi wa baadhi ya walokua mabosi zake kipindi kile anaanza. Look at God 😄 Haya mazungumzo hasa yalikua ya kutaka kumfahamu yeye na vitu vinavyomsukuma, na kutaka kujua barabara ambayo alipita ilikua na mashimo kiasi gani, na hata ‘ajali’ ambazo ameshawahi kukutana nazo na jinsi gani alikua ‘anapona’ nazo. Kweli maisha ni milima na mabonde na kwa discipline hii ambayo mwenzetu ameionyesha toka siku ya kwanza mpaka hapa alipo, bila ya shaka mimi na wewe tuna jambo la KUJIFUNZA. I hope you’ll enjoy the conversation like I did. Love, Salama. Listen our Podcast on Spotify Link https://spoti.fi/2Uxr6Cm‬ ‪ApplePodcast Link https://apple.co/2Ou1bru‬ GooglePodcast Link https://bit.ly/GooglePodcastSalamaNa Audiomack Link https://bit.ly/YahStoneTownAudioMack ‪YouTube Link http://bit.ly/YoutubeSalamaNa Soundtrack Yeah by @MarcoChali    • Marco Chali Feat One The Incredible & Msam...   Follow: Twitter:   / yahstonetown   Instagram:   / yahstonetown   Facebook:   / yahstonetown   Channel Administered by Slide Digital Instagram: www.instagram.com/slidedigitaltz

Comments
  • Salama Na MSIGWA SE6  EP01 FULL SHOW | SEMA PART 1 | SendTip Through MPESA  LIPA NO 5578460 3 года назад
    Salama Na MSIGWA SE6 EP01 FULL SHOW | SEMA PART 1 | SendTip Through MPESA LIPA NO 5578460
    Опубликовано: 3 года назад
  • Salama Na EDO KUMWEMBE Ep 42| MWENYE SHOKA HAKOSI KUNI Part 1 4 года назад
    Salama Na EDO KUMWEMBE Ep 42| MWENYE SHOKA HAKOSI KUNI Part 1
    Опубликовано: 4 года назад
  • Salama Na MAJIZZO SE6 EP17 | MPIMAJI PART 2 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460 3 года назад
    Salama Na MAJIZZO SE6 EP17 | MPIMAJI PART 2 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460
    Опубликовано: 3 года назад
  • Валерий Ширяев о скором (?!) конце войны 22 часа назад
    Валерий Ширяев о скором (?!) конце войны
    Опубликовано: 22 часа назад
  • Salama Na NAPE NNAUYE SE6 EP15 |ASKARI WA BRIGEDIA PART 1|SendTip MPESA LIPA NO 5578460 3 года назад
    Salama Na NAPE NNAUYE SE6 EP15 |ASKARI WA BRIGEDIA PART 1|SendTip MPESA LIPA NO 5578460
    Опубликовано: 3 года назад
  • RUTO CAN'T NEGOTIATE WITH ME! DP Kindiki's Electrifying Remarks at SOJAJ Report 2025 1 час назад
    RUTO CAN'T NEGOTIATE WITH ME! DP Kindiki's Electrifying Remarks at SOJAJ Report 2025
    Опубликовано: 1 час назад
  • АСЛАНЯН: АвтоВАЗ поставил рекорд по убыткам. Китайский позор. ИИ-теща в авто | МАШИНЫ 20 часов назад
    АСЛАНЯН: АвтоВАЗ поставил рекорд по убыткам. Китайский позор. ИИ-теща в авто | МАШИНЫ
    Опубликовано: 20 часов назад
  • Zembwela Afunguka Ukweli Wote Mpaka Kuacha Kazi East Africa | SALAMA NA ZEMBWELA PART 1 3 года назад
    Zembwela Afunguka Ukweli Wote Mpaka Kuacha Kazi East Africa | SALAMA NA ZEMBWELA PART 1
    Опубликовано: 3 года назад
  • Salama Na GARA B SE6 EP63 | BABA SHUGHULI PART 2 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460 2 года назад
    Salama Na GARA B SE6 EP63 | BABA SHUGHULI PART 2 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460
    Опубликовано: 2 года назад
  • Salama Na KUSAH SE6 EP66  NGWANA AZAIZA PART 1  SendTip MPESA LIPA NO 5578460 2 года назад
    Salama Na KUSAH SE6 EP66 NGWANA AZAIZA PART 1 SendTip MPESA LIPA NO 5578460
    Опубликовано: 2 года назад
  • Salama Na NAPE NNAUYE SE6 EP15 |ASKARI WA BRIGEDIA PART 2| SendTip MPESA LIPA NO 5578460 3 года назад
    Salama Na NAPE NNAUYE SE6 EP15 |ASKARI WA BRIGEDIA PART 2| SendTip MPESA LIPA NO 5578460
    Опубликовано: 3 года назад
  • Москву поставили на место / Путин нажил нового врага? 6 часов назад
    Москву поставили на место / Путин нажил нового врага?
    Опубликовано: 6 часов назад
  • Salama Na OSCAR OSCAR SE6 EP39 | UALIMU?! SI WITO!! PART 2 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460 3 года назад
    Salama Na OSCAR OSCAR SE6 EP39 | UALIMU?! SI WITO!! PART 2 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460
    Опубликовано: 3 года назад
  • Salama Na TOGOLANI SE6 EP09|CIVIL SERVANT PART 1|SendTip MPESA LIPA NO 5578460 3 года назад
    Salama Na TOGOLANI SE6 EP09|CIVIL SERVANT PART 1|SendTip MPESA LIPA NO 5578460
    Опубликовано: 3 года назад
  • Salama Na MwanaFA Ep 10 | KARAMA Part 1 5 лет назад
    Salama Na MwanaFA Ep 10 | KARAMA Part 1
    Опубликовано: 5 лет назад
  • Salama Na JK Ep 48| MSOGA UNO PART 1 4 года назад
    Salama Na JK Ep 48| MSOGA UNO PART 1
    Опубликовано: 4 года назад
  • Карантин в Москве. Пожар у РЖД: задержки поездов. Путин ночевал в клинике. Налоги повышены | ВОЗДУХ 18 часов назад
    Карантин в Москве. Пожар у РЖД: задержки поездов. Путин ночевал в клинике. Налоги повышены | ВОЗДУХ
    Опубликовано: 18 часов назад
  • РФ захватила Купянск? ЕС отверг план Трампа, Ультиматум Зеленскому. Юсупов, Быков Трансляция закончилась 1 час назад
    РФ захватила Купянск? ЕС отверг план Трампа, Ультиматум Зеленскому. Юсупов, Быков
    Опубликовано: Трансляция закончилась 1 час назад
  • Дорога в ад. Как российская культура и медиа привели страну к войне | 1 день назад
    Дорога в ад. Как российская культура и медиа привели страну к войне | "Археология"
    Опубликовано: 1 день назад
  • Salama Na OMMY DIMPOZ SE6 EP31 | ELEGANT PART 1 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460 3 года назад
    Salama Na OMMY DIMPOZ SE6 EP31 | ELEGANT PART 1 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460
    Опубликовано: 3 года назад

Контактный email для правообладателей: [email protected] © 2017 - 2025

Отказ от ответственности - Disclaimer Правообладателям - DMCA Условия использования сайта - TOS



Карта сайта 1 Карта сайта 2 Карта сайта 3 Карта сайта 4 Карта сайта 5