У нас вы можете посмотреть бесплатно BLUE COAST NA MIAKA MINNE YA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Imeelezwa kuwa Royal Tour imehamasisha ushindani mzuri kati ya wafanyabiashara wa ndani na wale kutoka nje ya nchi, jambo ambalo limechochea maendeleo, hususan katika sekta ya madini Jeremiah Musa, Meneja wa Kampuni ya Blue Coast mkoani Geita, amesema kampuni hiyo imeajiri zaidi ya wafanyakazi 500, wakiwemo raia wa kigeni, na inatoa huduma katika mikoa ya Geita, Mwanza, na Dar es Salaam. Kampuni hiyo pia imekuwa mstari wa mbele kusaidia huduma za kijamii, ikiwa ni pamoja na ujenzi wa nyumba za polisi,vyumba vya madarasa, na kusaidia mfuko wa elimu kwa kuchangia zaidi ya shilingi milioni 150. Jeremiah amesema asilimia 30 ya wafanyakazi wa Blue Coast ni wanawake, ambapo baadhi yao wanaendesha magari makubwa ya mafuta. KITUO KINACHO JIHUSISHA NA HABARI MBALIMBALI ZA KIJAMII NA KUELIMISHA UMMA KUHUSU MATUKIO YANAYO JIRI KILA WAKATI HAKIKISHA UNA SUBSCRIBE CHANEL YETU USIPITWE NA TUKIO LOLOTE HAPA NCHINI ( Email: Mohab852002@gmail.com(+255752268249 / +255785537878)