У нас вы можете посмотреть бесплатно HAKUNA FEDHA ZA VIJANA WIZARANI - RIZIKI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Na Kulthum Ally , Bungeni Dodoma Mbunge wa Viti maalum wa kuteuliwa Riziki Said Lolida ameiomba serikali kuingiza fedha za vijana katika wizara husika ili kuliwezesha kundi hilo kujiendesha kiuchumi Akichangia bajeti ya makadirio ya mapato na matumizi ya Ofis ya Waziri Mkuu ya mwaka 2024/2025 Mheshimiwa Riziki amesema kundi hilo limekuwa likishindwa kuendelea kutokana na fedha zao kushindwa kufikishwa kwa wakati Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: / spotileo-176. . HabariLeo: / habarileo DailyNews: / dailynewstz INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09