У нас вы можете посмотреть бесплатно MJUE DAJALI WA KADIANI GHULAM AHMED MKADIANI NO. 1 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Ghulam Ahmed Mkadiani ni mmoja katika Madajali 30 aliotuhadharisha nao Mtume wetu Muhammad S.A.W. Katika Darsa hii Sheikh Hafidh Al Sawafi anathibitisha udajali wa Ghulam Ahmed Mkadiani kupitia maandiko yake mwenyewe. Ghulam Ahmed Mkadiani alidai kupata funuo za bishara ya umri wake ya kua ataishi umri wa miaka 75 mpaka 85, bali alidai kupata funuo ya kuishi mpaka mwaka 1335 Hijiria, pia tarehe 5/Nov/1907 alitangaza ilani yake yenye funuo ya kua ataendelea kuishi zaidi ya miezi 14 kuanzia July/1907 lakini matokeo yake alfariki May/1908 akiwa na umri wa miaka 67 kwa kalenda ya A.D. au 69 kwa kalenda ya H.J. na kwa hayo ukathibitisha udajali wake.