У нас вы можете посмотреть бесплатно Serikali kuanza kuwahamisha watoto wanaorandaranda mitaani или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Serikali imeweka mikakati ya kuwahamisha watoto wanaorandaranda mitaani na kuwatafutia makao rasmi mbali na kuwapaa mafunzo ya kiufundi ili waweze kujikimu kimaisha. Akizungumza baada ya kutembelea makao ya watoto ya Ufariji katika eneo la Kasarani,jijini Nairobi katibu katika idara ya huduma kwa watoto Caren Ageng'o, alifichua kwamba takriban watoto 20,000 wamenusuriwa na kupelekwa kwenye makao salama. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: / kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive