У нас вы можете посмотреть бесплатно BINTI wa MIAKA 20 ASIMULIA MAUMIVU MAKALI - "NIMEZALIWA na MWILI MDOGO KAMA CHUPA ya SODA"... или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
BINTI wa MIAKA 20 ASIMULIA MAUMIVU MAKALI - "NIMEZALIWA na MWILI MDOGO KAMA CHUPA ya SODA"... Bahati Boniphace ni binti wa miaka 20, mkazi wa Nyungu,wilaya ya Babati mkoani Manyara. Ni mlemavu, lakini hilo halijamzuia kupambana na maisha kwa ujasiri. Kupitia Mahojiano aliyofanya na mwandishi wa Global tv @hoseaelnino ,Bahati anasimulia kuwa kabla ya kuzaliwa, mama yake mzazi alitaka kutoa mimba kwa kutumia dawa, jambo ambalo linaaminika kuwa chanzo cha hali yake ya kiafya,anasema alizaliwa akiwa na mwili mdogo sana, akifananishwa na chupa ya soda. Kwa sasa, Bahati ni mama wa mtoto mmoja na pia ni mjamzito. Anaishi katika mazingira magumu na anakabiliwa na changamoto nyingi za maisha kutokana na hali yake. Kupitia simulizi yake, anaomba msaada kwa Watanzania wenye moyo wa huruma ili waweze kumsaidia kupata mahitaji muhimu ya maisha na kumuwezesha kutimiza ndoto zake pamoja na kuwapatia watoto wake maisha bora. Msaada wako unaweza kuwasilisha kwa namba za simu 0687366351 Kwa jina la Hawa heke