У нас вы можете посмотреть бесплатно AIC Chang’ombe Choir (CVC) - MBEGU (Official Live Video) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#MBEGU, wimbo wa kwanza katika IBADA YA HUNDRED FOLD REWIND iliyofanyika tare 18.07.2025 katika kanisa la AICT Chang'ombe, Sokota Temeke Dar es salaam. Ndani ya wimbo huu AIC Chang'ombe Choir tunamshukuru Mungu kwa baraka zake alizotukirimia kwa zaidi ya miaka 37 tangu kuanzishwa kwa kwaya yetu. Tunaamini wimbo huu utakuwa mwanzo mzuri wa wewe kukua na kuongezeka vipimo mia kwa kimoja. LYRICS Solo: Mimi ni mbegu iliyo anguka katika udongo mzuri Ikazaa moja, moja kwa mia, mia kwa maelefu Wote: Mimi ni mbegu iliyo anguka katika udongo mzuri Ikazaa moja, moja kwa mia, mia kwa maelefu Solo: Mbegu zilikua nyingi Zilikua nyingi Nyingi sana Zingine zilianguka Juu ya mwamba Juu ya mwamba Jua lilipowaka zikakauka Zikakauka Zingine zilianguka karibu na njia zikaliwa na ndege Wote: Mimi ni mbegu iliyo anguka katika udongo mzuri Ikazaa moja, moja kwa mia, mia kwa maelefu Solo: Nimelijua kusudi lako Mungu wangu Wote: Nimelijua kusudi lako Mungu wangu Solo: Mawazo yako ni mema kwangu nimejua Wote: Nimelijua kusudi lako Mungu wangu Solo : Nimelijua kusudi lako Baba yangu Wote: Nimelijua kusudi lako Mungu wangu Solo: Mawazo yako ni mema kwangu nimejua Wote: Nimelijua kusudi lako Mungu wangu Solo: Kama ningeanguka juu ya mwamba Jua lilipowaka ningeungua Kama ningeanguka kwenye miiba Nisingeweza kustawi X2 Kusudi la Mungu kupitia mimi Wote: Kwa jina la Yesu niongezeke Solo: Mpango wa Mungu maishani mwangu Wote: Kwa jina la Yesu niongezeke Solo: Mimi sio laana mimi ni baraka Wote: Kwa jina la Yesu niongezeke X2 Wote: Kupitia mimi familia yangu iongezeke Kupitia mimi marafiki zangu waongezeke Kupitia mimi kanisa langu liongezeke Niwe baraka Nitokapo na niingiapo Niwe baraka Wote: Kupitia wewe familia yako iongezeke Kupitia wewe marafiki zako waongezeke Kupitia wewe kanisa lako liongezeke Uwe baraka Utokapo na uingiapo Uwe baraka Special Thanks AICT CHANG'OMBE CHURCH AICT CHANG'OMBE CHOIR Mch. Dr Joseph Mayala Mitinje Mch. Martine Mahona CREDITS. Song Writer- Elisha Gerlad Video production - SP VISUAL and CVC MEDIA Audio Mixing & Mastering Engineer - Qullian Pro Sound System, Backline - Haddypro Campany Limited Lights & LED Screens - Nyakalo company Limited Stage-SRE&ABBA CREATIONS Project Manager - Christian Mgana MUSIC DEPARTMENT Music Team - Benjamin Makolobela (MD,MAIN KEYS) Elisha Gurlaty (AUX 1) Elia Mahuna (AUX 3) Onesmo Peter (AUX 2) Emmanuel Yusuph (BASS) Jeremiah Madaha (LEAD GUITAR) Danifred Daniel Buraga (LEAD GUITAR) Joseph Martin (DRUMS)