У нас вы можете посмотреть бесплатно "CHADEMA WANATAKA NCHI YETU ICHAFUKE KAMA NCHI za JIRANI" - ALLY HAPI AWATOLEA UVIVU... или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
"CHADEMA WANATAKA NCHI YETU ICHAFUKE KAMA NCHI za JIRANI" - ALLY HAPI AWATOLEA UVIVU... WANACHAMA, wapenzi, mashabiki na wakereketwa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Jumuiya zake Wazazi, UWT na Vijana wajitokeza kwa wingi kumpokea Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa, Ndugu Ally Hapi (MNEC) katika ziara yake ya uimarishaji wa chama na jumuiya ya wazazi wilayani mbulu. Aidha katika ziara hiyo katibu mkuu wazazi, Hapi ameongozana na Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji Wazazi CCM Taifa, Mhe. Ali Juma Mohamed "Raza" (MB). Akiongea baada ya kupokelewa wilayani mbulu, Katibu Mkuu Wazazi. Hapi amesema wananchi nchini wanahitaji mahitaji muhimu maji, afya, elimu na mahitaji yote muhimu kwao si vinginevyo. Amewataka wazazi kupeleka watoto shule wakapate elimu kwani serikali ya CCM inayoongozwa na Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan, imejenga shule za msingi kila kata nchini hivyo ni jukumu lao wazazi kuhakikisha watoto wao wanapata elimu bora kwa maslahi mapana ya nchi. Aidha pia amewasisitiza wazazi kuwalinda watoto wao kwa kuhakikisha wanafuatilia mienendo yao ya maisha ya kila siku pamoja na kuepusha kuwalaza na ndugu zao wa kiume na wa kike waliopevuka. ============================================================ ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania! ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx