У нас вы можете посмотреть бесплатно BALAA ZITO! WAKILI AWAWASHIA MOTO POLISI SONGWE, ADAI KUZUIWA KUONANA NA MTUHUMIWA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
WAKILI AIWAKIA POLISI SONGWE ADAI KUZUIA KUONANA NA MTUHUMIWA. Mwanasheria wa kujitegemea kutoka Nyanda za juu kusini mwa Tanzania Wakili Philip Mwakilima, ameeleza kusikitishwa na kitendo cha kuzuia kuonana na mteja wake aitwayye Filmon Mwakalinga ambaye anashikiliwa Polisi kwa tuhuma ambazo hata hivyo hajajulishwa kwa zaidi ya wiki tatu mkoani Songwe. Wakili Philip Mwakilima ameeleza hayo wakati akizungumza mkoani Songwe ambapo amedai kuwa alienda Polisi katika moja ya vituo mkoani Songwe kwa ajili ya kuonana na ntuhumiwa wake kama inavyotakikana kisheria lakini hakuruhusiwa kumuona. Wakili Mwakilima amesema kinachofanywa na baadhi ya Askari kumzuia wakili kuonana na mteja wake ni hatar kwa ustawi wa jamii na vinachochea chuki Serikalini na kwamba wananchi wana nafasi ya kuamua hatua zaidi za kuchukua ili kuleta uwajibikaji nchini.