У нас вы можете посмотреть бесплатно RPC Muroto amtia kikaangoni kijana aliyekamatwa akisafirisha wahamiaji haramu, Dodoma или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Jeshi la Polisi Mkoani Dodoma linawashikilia wahamiaji haramu wawili raia wa Ethiopia kwa kosa la kuingia nchini bila vibali. Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma SACP Gilles Muroto wahamiaji hao walikamatwa katika kijiji cha Bugiri wilayani Chamwino wakiwa na raia wa Tanzania Ally Ramadhani Mkazi wa Arusha. Kwa mujibu wa Muroto, Mtanzania huyo alikuwa akiwasafirisha wahamiaji hao kutoka Arusha kupitia wilayani Kiteto kwa kuwapakia katika mabasi yanayofanya safari za vijijini na kuwashusha Bugiri kwaajili ya kubadilisha usafiri.