У нас вы можете посмотреть бесплатно Anastacia Muema- Karamu ya Bwana Yesu (Official Video) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Anastacia Muema. Ekarsti Takatifu ni chakula cha roho na ni Yesu mzima ndani ya maumbo ya Mkate na Divai. Wimbo huu unaoitwa Karamu ya Bwana Yesu ulivyoimbwa na Mwimbaji Anastacia Muema (Miss Anne) ni wimbo unaotukumbusha kwamba Fumbo la Ekaristi takatifu ni nafasi ya kukutana na Yesu Mzima katika maumbo ya Mkate na Divai. Kila mara tuwe wasafi wa roho ili tuweze kuishiriki meza yake Kristo anayotuandalia kila tunapofanya adhimisho la ibada ya Misa Takatifu. Wimbo huu umetungwa na Ray Ufunguo Umeimbwa na Anastacia Muema, Back vocals zimefanywa na (Lawrence Kameja, Tumaini Swai na Ray Ufunguo) Kinanda Kimechezwa na Ray Ufunguo Audio na Video vimefanywa katika studio za RAJO Productions (Tz) Nakukaribisha uungane nami katika kusikiliza na kutazama wimbo huu na Mungu atubariki sote, Amina #wimbowaekaristi #corpuschristi #komunio #anastaciamuema #rajoproductions