У нас вы можете посмотреть бесплатно MWALUNENGE AHOJI KUFUNGIWA MARA KWA MARA UWANJA WA SOKOINE или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya, Ndg. Patrick Mwalunenge, amelalamikia uamuzi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Bodi ya Ligi kuufungia mara kwa mara Uwanja wa Sokoine licha ya kufanyiwa maboresho. Amesema hatua hiyo inawanyima wananchi wa Mbeya burudani ya mpira pamoja na kuathiri fursa za kiuchumi kwa wafanyabiashara wadogo wanaotegemea mechi kubwa, hususan zinazohusisha timu za Simba SC na Young Africans S.C.. Mwalunenge ameitaka TFF kutoa maelezo ya wazi kuhusu sababu za kuendelea kuufungia uwanja huo ili kuondoa sintofahamu kwa wananchi.