У нас вы можете посмотреть бесплатно DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 11.03.2026 | Mchana | Swahili Habari leo | Podcast или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 11.03.2026 | Mchana | Swahili Habari leo | Podcast Iran na Israel zimeendelea kushambuliana kwa makombora na droni, huku Tehran ikiongeza mbinyo wake kwenye sekta ya mafuta. Shambulio la droni mjini Goma lamua raia mmoja wa Ufaransa. Mafuriko Kusini mwa Ethiopia, 30 waangamia. Mfanyabiashara na mwanasiasa wa siku nyingi wa nchini Tanzania Rostam Azizi amefanikiwa kuwa mbia mkuu wa kampuni ya vyombo vya habari ya Nation Media Group baada ya kununua hisa zote zinazomilikiwa na Wakfu wa Aga Khan wa Maendeleo ya Uchumi. #dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast /Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.