У нас вы можете посмотреть бесплатно DIWANI AJITOSA SAKATA LA ZAHANATI YA MAKUNGU или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
TABORA: MBIONI kuhakikisha kila Mtanzania anapata huduma bora za afya karibu na makazi yake, serikali imeendelea kuchukua hatua mbalimbali ikiwemo kujenga na kuboresha miundombinu ya hospitali, vituo vya afya na zahanati, kupeleka vifaa tiba vya kisasa pamoja na kuongeza idadi ya wahudumu wa afya katika maeneo mbalimbali nchini. Hatua zenye kulenga kupunguza adha ya wananchi kutembea umbali mrefu kufuata huduma za afya, kupunguza vifo vinavyotokana na uzazi na magonjwa ya kawaida pamoja na kuongeza ustawi wa jamii kwa ujumla. Hali hiyo imekuwa tofauti kwa baadhi ya maneo ikiwemo kwa wakazi wa kitongoji cha Ipulanilo, kilichopo ndani ya kijiji cha Malongwe, kata ya Kizengi, wilayani Uyui mkoani Tabora, ambako wanadai kulazimika kutembea umbali wa kilometa 30 kufuata huduma ya afya hali inayopelekea vifo visivyo vya lazima hususani kwa wamama wajawazito watoto na wazee, hasa nyakati za dharura. Habari kamili Na Michael Samwel-Tabora Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: / spotileo-176. . HabariLeo: / habarileo DailyNews: / dailynewstz INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09