У нас вы можете посмотреть бесплатно Namwandama yesu (Reggae swahili song) by Tuabudu Band или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Namwandama Bwana kwa alilonena, Njia yangu huning'azia; Nikimridhisha atanidumisha Taamini nitii pia. Amini utii, njia pweke ni hii Ya furaha kwa yesu, amini ukatii Giza sina kwangu wala hata wingu Yeye mara huviondoa Woga wasiwasi, sononeko basi. Huamini nitii pia. Amini utii, njia pweke ni hii Ya furaha kwa yesu, amini ukatii Masumbuko yote, sikitiko lote; Kwa mapenzi hunilipia, Baa, dhara, dhiki, vivyo hubariki, Taamini nitii pia. Amini utii, njia pweke ni hii Ya furaha kwa yesu, amini ukatii Mimi sitajua raha sawasawa Ila yote yesu kumpa; Napata fadhili na radhi kamili, Taamini nitii pia. Amini utii, njia pweke ni hii Ya furaha kwa yesu, amini ukatii Nitamfurahisha na kumtumaini, Majumbani na njia-njia; Agizo natenda; nikitumwa hwenda, Huamini nitii pia Amini utii, njia pweke ni hii Ya furaha kwa yesu, amini ukatii