У нас вы можете посмотреть бесплатно MIRAMBO ATUA TABORA,ASEMA MIEZI SITA CUF KITAIMARIKA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
CUF kurudisha uhai wa chama ndani ya miezi 6. Mwenyekiti mpya wa Chama hicho amekuja na mkakati wakurudisha uhai wa chama cha CUF Chama cha Wananchi (CUF) kimesema ndani ya miezi Sita kuanzia sasa kinafanya kazi kubwa ya kuimarisha chama hicho kwa kufanya maridhiano na kutatua migogoro ya ndani ya chama ili kurudisha imani ya wanachama. Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Chama hicho Mirambo Camil wakati akizungumza na waandishi wa habari,wanachama na wananchi katika ofisi za chama cha Wananchi (CUF) zilizopo kata ya Gongoni manispaa ya Tabora.