У нас вы можете посмотреть бесплатно NOVENA YENYE MIUJIZA MINGI | MTAKATIFU FILOMENA | BIKIRA, SHAHIDI NA MFIADINI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
NOVENA KWA MT. FILOMENA (Isaliwe kwa siku 9 mfululizo) Kwajina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu. Amina Twakuomba Ee Bwana, utusamehe dhambi zetu kwa maombezi ya Mtakatifu, Bikira na Shahidi, ambaye daima alikupendeza machoni pako kwa usafi wake wa moyo na kwa kuiishi kila tunu. Mtukufu bikira na shahidi, Mt. Filomena, nitazame ninapoanguka mbele ya kiti cha enzi ambacho Utatu Mtakatifu sana umependa kukuketisha. Nikiwa na matumaini kamili katika ulinzi wako, ninakuomba uniombee kwa Mungu, kutoka juu Mbinguni aniangalie kwa huruma mimi ninayejinyenyekeza kwako. Ewe Mchumba wa Kristo, nipe neema ya kuvumilia mateso, niimarishe katika majaribu, nilinde katika hatari zinazonizunguka, uniombee neema zote ninazozihitaji na hasa................(sema ombi lako)................ Zaidi ya yote, unisaidie katika saa ya kufa kwangu. Ee Mt. Filomena utuombee. Ee Mungu, Utatu Mtakatifu, tunakushukuru kwa neema ulizowapatia Bikira Maria mbarikiwa na mtumishi wako Filomena, ambao kwa maombezi yao tunaomba huruma yako. Amina.