У нас вы можете посмотреть бесплатно JIONEE VIWANJA VIZURI BEI NI ZAIDI YA KITONGA TSH. 750,000/= UJENGE NYUMBA YAKO! или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
@mamasamia #Tanzania #daressalaam Tumefungua mradi mpya wa Viwanja ambao ni nafuu sana....! Mradi unapatikana Kisemvule Obey ni eneo ambalo limepangiliwa na lipo sehemu nzuri zaidi. Ardhi yan eneo ni la kichanga na lipo juu halituamishi maji kipindi cha masika. Bei ya viwanja ni Tsh. 750,000/= kwa kila kiwanja yaani ni zaidi ya kitonga! ukubwa wa viwanja ni Ft 40/50 ni ukubwa wa kujenga nyumba ya vyumba vitatu na kila kitu ndani. Unaruhusiwa kulipa kwa awamu tatu kwa kutanguliza nusu ya Malipo kwa kila kiwanja. unasubiri nini ndugu mtanzania wahi sasa viwanja hivi kabla havijaisha. Namba zetu za simu ni +255747141871 pia tunapatikana kwenye mitandao ya kijamii kwa majina ya Aisam Bestland. fika ofisini kwetu leo.... #investment #realestate #nyumba #viwanja #africancity #hati #hatimiliki #house #kigamboni #komando