У нас вы можете посмотреть бесплатно Wanyama wa nyumbani / Domestic animals/ Jifunze Kiswahili или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wanyama wa nyumbani ni wale wanyama ambao huishi katika mazingira ambayo mwanadamu anaishi na hawawezi kumuathiri kwa kiasi kikubwa. Wanyama hao wanatunzwa kwa uangalizi wa binadamu kwa ajili ya ulinzi, michezo, kazi, pambo na majaribio ya maabara. Ng’ombe hupatia watu maziwa, nyama, pia ngozi yake inaweza kutumika kutengeneea vitu mbalimbali. Mbwa husaidia hasa katika suala la ulinzi katika mazingira yanayomzunguka mwanadamu. Mbuzi huwapatia watu nyama, maziwa ila si mazuri kama yale ya ng'ombe na pia ngozi yake hutumika kutengenezea vitu kama vile ngoma, hasa katika jamii za Afrika. #education #learnswahili #swahili #kids #neno #art #teacher #birthday #duet #english