У нас вы можете посмотреть бесплатно VIDEO KUTOKA DRC: WANAJESHI wa JWTZ WANAOLINDA AMANI CONGO WALIVYOADHIMISHA SIKU ya WALINDA AMANI... или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
VIDEO KUTOKA DRC: WANAJESHI wa JWTZ WANAOLINDA AMANI CONGO WALIVYOADHIMISHA SIKU ya WALINDA AMANI... Kikosi cha 11 cha Tanzania kinachohudumu katika Nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo chini ya Mwavuli wa MONUSCO kimeungana na walinda Amani wengine Kuadhimisha siku ya Walinda Amani Dunian Kauli mbiu ya mwaka huu ikiwa ni Mustakabali wa Ulinzi wa Amani, Maadhimisho hayo yamefanyika katika Makao Makuu ya Kikosi cha Tanzania Mavivi ambapo Mgeni Rasmi alikuwa ni Mnadhimu Mkuu wa Vikosi Vya MONUSCO Brigedia Jenerali Diamond Meshack Madie Maadhimisho hayo yalipambwa kwa Gwaride Maalum ambalo lilipita mbele ya Mgeni Rasmi ============================================================ ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: [email protected] ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania! ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx