У нас вы можете посмотреть бесплатно Umepokeaje taarifa za wanafunzi kurejea shuleni na umejipangaje? или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Tanzania ni moja ya nchi zilizotangaza wanafunzi wa ngazi zote kurejea mashuleni kufuatia kupungua kwa maambukizi ya virusi vya Corona huku ikiendelea kusisitizwa kua wananchi wachukue tahadhari. Na Serikali kupitia wizara ya afya, maendeleo ya jamii, jinsia wazee na watoto imetoa muongozo wa namna gani shule zinapaswa kufanya katika kuchukua tahadhari kuwalinda watoto wawapo shuleni. Haba na Haba juma hili inaangazia haya