• ClipSaver
  • dtub.ru
ClipSaver
Русские видео
  • Смешные видео
  • Приколы
  • Обзоры
  • Новости
  • Тесты
  • Спорт
  • Любовь
  • Музыка
  • Разное
Сейчас в тренде
  • Фейгин лайф
  • Три кота
  • Самвел адамян
  • А4 ютуб
  • скачать бит
  • гитара с нуля
Иностранные видео
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

Kuzaliwa Mara ya Pili Inamaanisha nini? | Mwal. Eliya Lsn 1, 160925 скачать в хорошем качестве

Kuzaliwa Mara ya Pili Inamaanisha nini? | Mwal. Eliya Lsn 1, 160925 5 дней назад

скачать видео

скачать mp3

скачать mp4

поделиться

телефон с камерой

телефон с видео

бесплатно

загрузить,

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Kuzaliwa Mara ya Pili Inamaanisha nini? | Mwal. Eliya Lsn 1, 160925
  • Поделиться ВК
  • Поделиться в ОК
  •  
  •  


Скачать видео с ютуб по ссылке или смотреть без блокировок на сайте: Kuzaliwa Mara ya Pili Inamaanisha nini? | Mwal. Eliya Lsn 1, 160925 в качестве 4k

У нас вы можете посмотреть бесплатно Kuzaliwa Mara ya Pili Inamaanisha nini? | Mwal. Eliya Lsn 1, 160925 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Скачать mp3 с ютуба отдельным файлом. Бесплатный рингтон Kuzaliwa Mara ya Pili Inamaanisha nini? | Mwal. Eliya Lsn 1, 160925 в формате MP3:


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



Kuzaliwa Mara ya Pili Inamaanisha nini? | Mwal. Eliya Lsn 1, 160925

Hili ni jambo muhimu sana kwa anayejiita ama kutaka kuwa Mkristo Em soma mwenyewe kisa hiki Yohana 3:1-8 "Nikodemo Amwendea Yesu Usiku" 3 Yesu akamjibu, “Ninakwambia hakika, mtu asipozaliwa mara ya pili, hawezi kuuona Ufalme wa Mungu.” 5 Yesu akamwambia, “Ninakuambia hakika, kama mtu hakuzaliwa kwa maji na kwa Roho hawezi kuingia katika Ufalme wa Mungu. Kilichozaliwa kwa mwili ni mwili; na kilichozaliwa kwa Roho ni roho. Wakati Yesu akizungumza na Nikodemo, alisema, “Amin, Amin, nakuambia: mtu asipozaliwa mara ya pili, hawezi kuuona ufalme wa Mungu”. Nikodemo akamwambia, “Awezaje mtu kuzaliwa, akiwa mzee? Aweza kuingia tumboni mwa mamaye mara ya pili akazaliwa?” Yesu akajibu, “Amin, Amin, nakuambia: Mtu asipozaliwa kwa maji na kwa Roho, hawezi kuingia ufalme wa Mungu. Kilichozaliwa kwa mwili ni mwili; na kilichozaliwa kwa Roho ni roho. Usistaajabu kwa kuwa nilikuambia, ‘Hamna budi kuzaliwa mara ya pili…’ (Yohana 3:3-7, TMP). Msemo “kuzaliwa mara ya pili” unamaanisha “kuzaliwa toka Kiroho” Nikodemo alikuwa na uhitaji wa kweli. Alihitaji mabadiliko ya moyo wake... Mabadiliko ya kiroho. Kuzaliwa upya, yaani kuzaliwa mara ya pili, ni kitendo au hatua ya Kiungu ambapo uzima wa milele hupewa mtu yule aaminiye (2 Wakorintho 5:17; Tito 3:5; 1 Petro 1:3; 1 Yohana 2:29; 3:9; 4:7; 5:1-4, 18). Yohana 1:12, 13 yaonyesha kuwa ”kuzaliwa mara ya pili” pia ina maana “kufanyika watoto wa Mungu” pale tuwekapo imani yetu katika jina la Yesu Kristo. Yohana 1:12-13 12 Bali wote waliompokea na kumwamini aliwapa haki ya kufanywa watoto wa Mungu. 13 Hawa hawakuwa watoto wa Mungu kwa kuzaliwa kwa njia ya asili, wala kwa mapenzi au mipango ya watu bali wamezaliwa na Mungu mwenyewe. [si kwa damu, wala si kwa mapenzi ya mwili, wala si kwa mapenzi ya mtu, bali kwa Mungu. SUV] Sasa swali lafuata, “kwa nini mtu anahitaji kuzaliwa mara ya pili?” Mtume Paulo katika Waefeso 2:1 asema, “Kwa habari zenu, mlikuwa wafu katika makosa na dhambi zenu” (KCV). Kwa Warumi, aliwaandikia katika Warumi 3:23 akisema..., ”kwa sababu wote wamefanya dhambi, na kupungukiwa na utukufu wa Mungu” (TMP). Wenye dhambi ni wafu “kiroho”, lakini pale wanapopokea uzima rohoni kwa kumwamini Kristo, hapo ndipo Biblia hulinganisha jambo hilo na kuzaliwa mara ya pili. Wale tu waliozaliwa mara ya pili ndio wenye msamaha wa dhambi na uhusiano na Mungu. Kama bado hujawahi kumwamini Bwana Yesu Kristo kama mwokozi wa maisha yako, je utakuwa na utayari wa kumsikiliza Roho mtakatifu wakati akizungumza na moyo wako? Unahitaji kuzaliwa mara ya pili. Je, ungependa utubu na ufanyike kuwa kiumbe kipya ndani ya Kristo hivi leo? Kumbuka “Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndiyo wale waliaminio jina lake; waliozaliwa, si kwa damu, wala si kwa mapenzi ya mtu, bali kwa Mungu” (Yohana 1:12-13, TMP). Ukiwa unataka kumpokea Yesu Kristo kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yako na uzaliwe mara ya pili, Omba nami sala hii fupi. Kumbuka ya kwamba, kwa kusema ombi hili au ombi lengine lolote lile haliwezi kukuokoa. Ni kwa kumwamini Kristo pekee ndiko kutakuokoa toka dhambini. Ombi hili ni njia ya kumweleza Mungu imani yako kwake na kumshukuru kwa kukupa wokovu. “Mungu, najua yakwamba nimefanya dhambi kinyume chako na ninastahili adhabu. Lakini Yesu Kristo akaichukua adhabu niliyo stahili ili kwa kumwamini yeye, nipate kusamehewa. Naweka imani yangu Kwako pekee ili niokolewe. Ahsante kwa neema yako kuu na kwa msamaha-zawadi ya uzima wa milele! Amina!” ➲Ikiwa unapenda mafundisho yetu na ungependa kupata taarifa mpya kila wakati, tafadhali jiandikishe na ubonyeze kengele🔔 (karibu na kitufe cha kujiunga) ili kupokea taarifa mpya!!! TAFADHALI KUMBUKA: Mafundisho ama maoni yoyote kati ya yatayotolewa na wafundishaji si lazima yawakilishe maoni ya chaneli hii “Injili nje ya Kuta za Kanisa – inkmidia2007 “ au mafundisho mingine yoyote ambayo yanaweza kuwa au kusudiwa. Injili nje ya Kuta za Kanisa haiwatetei wala kuunga mkono shughuli yoyote isiyo halali ama inayokiuka sheria za nchi kwa mtu yeyote au jumuiya. ILANI YA HAKI MILIKI: Tunamruhusu mtu yeyote kutafsiri maudhui ya mafundisho yetu na kushirikisha wengine video lakini video lazima ibaki ikiwa na chapa chini “Injili nje ya Kuta za Kanisa – inkmidia2007 “ (yenye nembo yetu na kiunganishi cha chaneli hii) wazungumzaji wote wanapaswa pia kutambuliwa katika maelezo, ZINGATIO: Hatufungani wala Kuchangamana na Taasisi, Dini ama Dhehebu lolote, kwetu ni nguvu za Mungu katika Neno lake!

Comments
  • Imani [Kitu Hai, Kinacho ishi na Kukua] Mwl Eliya Lsn 1, 150925 15 часов назад
    Imani [Kitu Hai, Kinacho ishi na Kukua] Mwl Eliya Lsn 1, 150925
    Опубликовано: 15 часов назад
  • Biblia [Ni chakula cha Mwamini] Mwl ELiya Lsn 3, 220925 7 дней назад
    Biblia [Ni chakula cha Mwamini] Mwl ELiya Lsn 3, 220925
    Опубликовано: 7 дней назад
  • Neema Maana yake ni nini? | Mwal. Eliya Lsn 1, 170925 3 недели назад
    Neema Maana yake ni nini? | Mwal. Eliya Lsn 1, 170925
    Опубликовано: 3 недели назад
  • Mbinguni, Kuzimu na Jehanamu [Ni wapi?] | Mwal. Eliya Lsn 1, 170925 2 недели назад
    Mbinguni, Kuzimu na Jehanamu [Ni wapi?] | Mwal. Eliya Lsn 1, 170925
    Опубликовано: 2 недели назад
  • TAHARUKI YATOKEA KIONGOZI AZOMEWA MBELE YA WAZIRI MKUU/WANANCHI WAMKABA KOONI WATAKA UFAFANUZI.. 1 день назад
    TAHARUKI YATOKEA KIONGOZI AZOMEWA MBELE YA WAZIRI MKUU/WANANCHI WAMKABA KOONI WATAKA UFAFANUZI..
    Опубликовано: 1 день назад
  • Kilimo cha umwagiliaji kinavyomnufaisha Bw.Abraham mkaazi wa Simanjiro 3 недели назад
    Kilimo cha umwagiliaji kinavyomnufaisha Bw.Abraham mkaazi wa Simanjiro
    Опубликовано: 3 недели назад
  • Je, Tunaweza kumjua Mungu? | Mwl Eliya Lsn 1, 2025 5 месяцев назад
    Je, Tunaweza kumjua Mungu? | Mwl Eliya Lsn 1, 2025
    Опубликовано: 5 месяцев назад
  • Biblia [Ni chakula cha Mwamini] Mwl Eliya Lsn 1, 220925 3 недели назад
    Biblia [Ni chakula cha Mwamini] Mwl Eliya Lsn 1, 220925
    Опубликовано: 3 недели назад
  • Ushauri wangu wa Bure kwako  | Mwl Eliya 1, 2025 5 месяцев назад
    Ushauri wangu wa Bure kwako | Mwl Eliya 1, 2025
    Опубликовано: 5 месяцев назад
  • James Millya afungua ofisi ya pili ya mbunge Terrat,amteua Ole Njidai kuwa Katibu 7 дней назад
    James Millya afungua ofisi ya pili ya mbunge Terrat,amteua Ole Njidai kuwa Katibu
    Опубликовано: 7 дней назад
  • Top 50 Christmas Songs of All Time 🎄 Best Christmas Music Playlist 6 дней назад
    Top 50 Christmas Songs of All Time 🎄 Best Christmas Music Playlist
    Опубликовано: 6 дней назад
  • Biblia Ifunzavyo | Mwl. Eliya Lsn 1, 080625 12 дней назад
    Biblia Ifunzavyo | Mwl. Eliya Lsn 1, 080625
    Опубликовано: 12 дней назад
  • Biblia [Kwanini ni ngumu kueleweka] Mwl Eliya Lsn 6, 250825 4 недели назад
    Biblia [Kwanini ni ngumu kueleweka] Mwl Eliya Lsn 6, 250825
    Опубликовано: 4 недели назад
  • Unawezaje Kuitambua Dhambi | Mwl Eliya Lsn 2, 2025 5 месяцев назад
    Unawezaje Kuitambua Dhambi | Mwl Eliya Lsn 2, 2025
    Опубликовано: 5 месяцев назад
  • Meshack Laizer - Olchore Lai (Official_Video) 3 недели назад
    Meshack Laizer - Olchore Lai (Official_Video)
    Опубликовано: 3 недели назад
  • ZEŁENSKI U NAWROCKIEGO: WOŁYŃ, WDZIĘCZNOŚĆ, ODBUDOWA UKRAINY 20 часов назад
    ZEŁENSKI U NAWROCKIEGO: WOŁYŃ, WDZIĘCZNOŚĆ, ODBUDOWA UKRAINY
    Опубликовано: 20 часов назад
  • Ziemkiewicz o Tusku i jego ekipie: nie wiem jak takie obrzydliwe środowisko może być tolerowane 16 часов назад
    Ziemkiewicz o Tusku i jego ekipie: nie wiem jak takie obrzydliwe środowisko może być tolerowane
    Опубликовано: 16 часов назад
  • Mkristo Ni Mtu wa namna gani? | Mwal. Eliya Lsn 1, 200925 1 месяц назад
    Mkristo Ni Mtu wa namna gani? | Mwal. Eliya Lsn 1, 200925
    Опубликовано: 1 месяц назад
  • MIRAJI|UONGOZI BORA NI ULE UNAOBEBA MAKOMBE TU|STEVE BACKER ATAKUWA KAMA PANTEV KAMA ATAWAKUTA WAKE😃 3 часа назад
    MIRAJI|UONGOZI BORA NI ULE UNAOBEBA MAKOMBE TU|STEVE BACKER ATAKUWA KAMA PANTEV KAMA ATAWAKUTA WAKE😃
    Опубликовано: 3 часа назад
  • Biblia [Ni chakula cha Mwamini] Mwl ELiya Lsn 2, 220925 2 недели назад
    Biblia [Ni chakula cha Mwamini] Mwl ELiya Lsn 2, 220925
    Опубликовано: 2 недели назад

Контактный email для правообладателей: [email protected] © 2017 - 2025

Отказ от ответственности - Disclaimer Правообладателям - DMCA Условия использования сайта - TOS



Карта сайта 1 Карта сайта 2 Карта сайта 3 Карта сайта 4 Карта сайта 5