У нас вы можете посмотреть бесплатно MAFANIKIO KATIKA MAISHA | Ezden Jumanne или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kila mmoja anatamani kupata mafanikio ya kweli katika maisha. Lakini je, ni wangapi wanaweza japo kufafanua mafanikio kwao ni nini? Uzito wa swali hili upo kwenye ukweli kwamba kama mtu atashindwa kufahamu kwake mafanikio ni nini basi inawe kuwa ngumu sana mtu huyo kufanikiwa, kwani ni rahisi akajikuta anakimbiza mafanikio yasiyo yake bila yeye kujua. . Ukiweza kufahamu vizuri mafanikio kwako ni nini basi inaweza kuwa rahisi hata kutoka umasikini hadi mafanikio kimaisha. Ukishafahamu maana ya mafanikio, kanuni za mafanikio, basi utajua siri mbalimbali za mafanikio na ukiweka juhudi basi utaweza kuyafikia mafanikio yoyote yale kuanzia uchumi, uhuru, afya, familia n.k. . Ungana na Ezden Jumanne katika somo hili akifafanua kwa undani. . Tuandikie kwenye comments nini umejifunza katika somo hili na kama kuna mifano inayoendana na somo hili tafadhali tushirikishe na sisi tujifunze toka kwako, Each One Teach One! Karibu sana. . JIUNGE NA GROUP LETU LA VITABU TELEGRAM (BURE): Moja kwa moja bonyeza Link hii: BONYEZA👉🏽 https://t.me/spnbookclub 1) Kwenye group utapata masomo ambayo hayapo kwenye youtube. 2) Kuwa wa kwanza kuona video zetu saa moja kabla ya kupanda kwenye youtube. . LIKE - COMMENT - SUBSCRIBE - SHARE . WASILIANA NA EZDEN JUMANNE Voice-over Talent/ Content Entreprenuer Instagram: @ezdenjumanne Twitter: @ezdenjumanne Facebook: Ezden Jumanne Phone: (+255)759 191 076 Web: www.swahilivoiceovers.com . SUBSCRIBE Kwenye channel zetu nyingine: . HAMASA YA LEO👇🏽 / hamasayaleo . JE WAJUA?👇🏽 / @mediacraftstudiotz . VOICE-OVER CHANNEL👇🏽 https://tinyurl.com/matangazo . KUPATA MATANGAZO: Kuweka tangazo lako kwenye channel hii. Unahitaji Voice-over (English & Swahili). SIMU: (+255) 759 191 076 EMAIL: ezdenjumanne@gmail.com . . #mafanikio #katika #maisha