У нас вы можете посмотреть бесплатно CHEKECHE: Shambulio la qatar na athari zake или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Vita ya Gaza inaendelea kuchukua sura mpya, ikiibua matukio yasiyotarajiwa kadri mzozo huo unavyokaribia kutimiza miaka miwili ifikapo Octoba 7 mwaka huu. Gumzo la sasa ni kuhusu Israel kufanya shambulio mjini Doha, nchini Qatar, ikidai iliwalenga maafisa wa juu wa kundi la Hamas. Hata hivyo, hatua hiyo imeibua mitazamo tofauti duniani. Kilichotokea Doha na kusababisha vifo vya watu sita kinaleta maswali kuhusu athari zake katika eneo la Ghuba na Mashariki ya Kati. Karibu katika CHEKECHE ukiwa Raymond Nyamwihula. #AzamTVUpdates Mhariri | John Mbalamwezi