У нас вы можете посмотреть бесплатно Wachezaji wa humu nchini wa tenisi wanuia kufuzu kwa michezo ya olimpiki mjini Tokyo или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wachezaji wanne wa humu nchini wa tenisi ya mezani watakuwa wakinuia kufuzu kwa michezo ya olimpiki mjini Tokyo wakati wa mashindano ya kimataifa ya kufuzu yatakayoandaliwa kuanzia Machi 14 hadi 17 mjini Doha, Qatar.Mchezaji mahiri wa humu nchini Brian Mutua, Josiah Wandera, Doreen Juma na Lydia Setey wamekuwa mazoezini kwa kipindi cha mwezi mmoja kutokana na vikwazo vilivyopo vya kukabiliana na kuenea kwa virusi vya Korona. Wachezaji hao wamekuwa nje kwa kipindi cha mwaka mmoja wakifanya mazoezi ya kibinafsi kabla ya kurejelea mazoezi ya pamoja mwezi Januari. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: Follow us on Twitter: / kbcchannel1 Find us on Facebook: / kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCsports #KBClive