У нас вы можете посмотреть бесплатно MGOMBEA URAIS DKT SAMIA ATANGAZIA NEEMA KWA WAKULIMA WA CHAI RUNGWE или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt Samia Suluhu Hassan, ametangaza mpango wa kuzinyanga’nya mashamba ya Kampuni ya Mohammed Enterprises Tanzania (METL) na Watco ili kuyagawa kwa vyama vya ushirika. Uamuzi huo, umefikiwa baada ya kampuni hizo, kushindwa kuyaendeleza mashamba hayo, huku wakulima hasa wa chai wilayani Rungwe wakilalamikia kukosa maeneo ya kilimo. Dkt Samia ametangaza msimamo huo leo Ijumaa, Septemba 5, 2025 wakati akiwahutubia wananchi wa Mji wa Tukuyu wilayani Rungwe katika mkutano wa hadhara ikiwa ni mwendelezo wa kampeni za kusaka kura za uchaguzi mkuu wa Oktoba 29. Kabla ya kutangaza ahadi, Dkt Samia amesema awali kampuni hizo zilikabidhiwa mashamba kwa kuamini sekta …