У нас вы можете посмотреть бесплатно ARIF PREMJI AAHIDI UWAZI KWENYE MFUKO WA JIMBO NA UDHIBITI WA UBORA WA KOROSHO MTWARA VIJIJINI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mgombea ubunge wa Jimbo la Mtwara vijijini, Ndg. Arif Suleiman Premji, ametoa Vipaumbele vyake akiwa kwenye uzinduzi wa Kampeni katika Jimbo la Mtwara vijijini, Uzinduzi uliofanyika siku ya Septemba 13, 2025 katika Kijiji na Kata ya Madimba Mkoani humo. Ndg. Arif amesema moja ya Vipaumbele vyake endapo atashinda ni Mfuko wa Jimbo kuwa na uwazi wa Mapato na Matumiz,i aidha mfuko huo atauelekeza katika miradi ya Elimu kwa kuanzisha miradi ya Kidato cha tano na Sita akilenga kuanzisha miradi na baadaye kushikwa mkono na Serikali kuu. Aidha ameahidi kuanzisha kamati maalum Kwa ajili ya kufuatilia ubora wa korosho za Jimbo la mtwara vijijini, ili kuleta tija kwenye bei, akisema kwenye kamati hiyo atawashirikisha wakulima wawili kila kata, Bodi ya Korosho, Tari, Mamcu na kujua changamoto ya Ubora na kupata ufumbuzi ili kuleta Thamani zaidi katika zao la korosho. Kuhusiana na akina mama na wajane ambao wanapata adha kubwa ya mambo ya mirathi kwa kushirikiana na mwanasheria wa Halmashauri itakuwa tayari kuwasilikiza na kuotoa msaada wa kisheria. Atasimamia ilani ya CCM ya uchaguzi 2025-2030 ili kutekeleza miradi iliyoanishwa. SUBSCRIBE YOUTUBE CHANNEL YA FAIDA ONLINE TV ILI KUPATA HABARI ZETU