У нас вы можете посмотреть бесплатно A -Z KUHUSU UTT-Amis | WATU HUPATA VIPI FAIDA KUPITIA VIPANDE? Elimika Na Mwl. Emilian Busara C.P.A или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
📈 💡 Unasikia kuhusu UTT-Amis lakini hujui inafanya kazi vipi? Hii video ni kwa ajili yako! Mwalimu Emilian Busara (C.P.A) anakufafanulia kwa urahisi A–Z kuhusu UTT-Amis, jinsi watu wanavyowekeza kupitia vipande (units) na kupata faida halali bila stress. 📈 📘 Utajifunza: UTT-Amis ni nini na inafanya kazi vipi Aina za mifuko ya uwekezaji (unit trusts) Jinsi ya kuanza kuwekeza kwa kiasi kidogo Namna ya kupata faida na kurudia uwekezaji wako Faida za kuwekeza kupitia taasisi rasmi kama UTT-Amis 💰 Huu ndio uwekezaji salama, rahisi na wa uhakika kwa kila Mtanzania anayetaka kukua kifedha! #UTTAmis #Uwekezaji #EmilianBusara #HWMEDIA #Fedha #ElimuYaFedha #Vipande #Investment — 👉 Tazama mpaka mwisho ili uweze kuchukua hatua leo na kuanza kujenga uchumi wako kwa maarifa sahihi. -------------------------------------------------------------------------- 🔔 Subscribe kwa channel ya H.W Media kwa mfululizo kamili na mafunzo mengine ya maisha, fedha, ujasiriamali, na uongozi. 📤 Share video hii na mtu yeyote anayetaka kuanza safari ya uhuru wa kifedha. ............................................................................... #JengaUchumi #EmilianBusara #MaishaBora #NidhamuYaFedha #FinancialGrowthKuona#Biashara #Kazi #Uchumi #Emilian #Busara #Hisa #Utt #uwekezaji #fedha #mapato #Mafanikio #Kipato #FedhaSmart #Uwekezaji #BiasharaNdogo #UhuruWaKifedha Welcome to the home of positive vibes!