У нас вы можете посмотреть бесплатно Women and Opportunities in the Region - Morogoro 🇹🇿 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro ndio makao makuu ya mkoa yalipo. Ni mojawapo ya miji mikongwe katika historia ya Tanzania [ikiitwa Tanganyika] katika karne ya 18. Waarabu walitumia Morogoro kama kituo chao cha kupumzikia wakati wa biashara ya utumwa na kabla ya kuwapeleka mashariki ya mbali kwa ajili ya kuwauza kupitia Bandari ya Dar es salaam katika bahari ya Hindi. Mipaka na ukubwa wa Mkoa Mkoa wa Morogoro ni Mkoa wa pili kwa ukubwa nchini ukitanguliwa na Mkoa wa Tabora. Mkoa una eneo la kilometa za mraba 73,039. Eneo hili ni sawa na asilimia 7.7 ya eneo lote la Tanzania Bara, kati ya eneo hili Km2 2,240 ni eneo la maji. Mkoa umepakana na Mikoa ya Pwani na Lindi kwa upande wa Mashariki, Manyara na Tanga kwa upande wa Kaskazini na kwa upande wa Magharibi umepakana na Mikoa ya Dodoma na Iringa na Upande wa Kusini unapakana na Mkoa wa Ruvuma na Njombe.