У нас вы можете посмотреть бесплатно MAMA ASIMULIA ALIVYOTAPELIWA LAKI 3 AMUONE WAZIRI WA ARDHI - WAZIRI SILAA AMREJESHEA LAKI 4... или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
MAMA ASIMULIA ALIVYOTAPELIWA LAKI 3 AMUONE WAZIRI WA ARDHI - WAZIRI SILAA AMREJESHEA LAKI 4... Aneth Nkinda Mkazi wa kimara Baruti amerejeshewa kiasi cha laki 4 na Waziri wa Ardhi nyumba na maendeleo ya makazi Mhe. Jerry Silaa baada ya kudai kutapeliwa kiasi cha laki shilingi laki tatu na watu waliotaka kumkutanisha na waziri wa ardhi ili aweze kumsaidia shida yake. Aidha Waziri Silaa ametia wito kwa wito kwa watanzania kwa kuwafahamisha kumuona waziri hakuna gharama yoyote na popote wamueleze changamoto zao kwani ndio maelekezo ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: [email protected] ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania! ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx