У нас вы можете посмотреть бесплатно #FARNES или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
FARNES YOUTH TALENT ni jukwaa la kukuza, kuendeleza na kuibua vipaji vya vijana katika michezo, sanaa na ubunifu. Programu hii inalenga kuwapa vijana nafasi ya kuonyesha uwezo wao, kupata mafunzo ya kitaalamu, nidhamu, na fursa za kujitangaza hadi kufikia ngazi za juu kitaifa na kimataifa. Kupitia mashindano, ligi, mafunzo, na matukio maalum, FARNES Youth Talent hujenga vijana kuwa viongozi wa baadaye, wenye maadili, kujiamini na uwezo wa kujitegemea. Tunahamasisha umoja, ushindani wa haki, na matumizi sahihi ya vipaji kama njia ya maendeleo ya kijamii na kiuchumi. FARNES YOUTH TALENT Gundua Kipaji • Kilea Ndoto • Jenga Kesho