У нас вы можете посмотреть бесплатно Watuhumiwa Wawili wa Uhaini na Wizi Warudishwa Rumande, Mashahidi wa Jamhuri Watoa Ushahidi Wao или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kesi ya jinai namba 28996/2026 inayowakabili Joshua Zacharia Thibias na Daudi Shine Joshua imeendelea leo Februari 27, 2026 mahakamani Kisutu mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi Hassan Makube. Mashahidi wawili wa polisi wameshuhudia katika kesi inayowahusu washtakiwa hao wanaotuhumiwa kwa makosa ya kukutwa na mali ya wizi, uvunjaji na wizi. Washtakiwa wanaendelea kukaa gerezani kutokana na kesi nyingine ya uhaini inayowakabili ambayo upelelezi wake haujakamilika. Unaweza kutufuatilia kupitia; TWITTER: / thechanzo INSTAGRAM: / thechanzo FACEBOOK: / thechanzo TIKTOK: https://www.tiktok.com/@thechanzo?is_... Au tembelea tovuti yetu: https://www.thechanzo.com Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105 The Chanzo 2025 © All Rights Reserved.