У нас вы можете посмотреть бесплатно 'Nimebwia UNGA miaka 15, niligeuka kibaka, nilimtesa Mama yangu' Rapper FANANI wa HBC asimulia yote или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kundi la Hard Blasters Crew lililokuwa likiundwa na Fanani, Big Wille na Profesa Jay, limechangia kwa kiasi kikubwa historia ya muziki wa Bongo Flava. Sky anazungumza na Fanani aliyekuwa kiongozi wa kundi hilo kuhusiana na lilivyoundwa hadi kusambaratika. Lakini anasimulia pia jinsi alivyojiingiza kwenye matumizi ya dawa za kulevya kwa miaka 15, kulivyomharibia maisha yake. Hata hivyo amefanikiwa kujinasua huko na sasa baada ya kufanya kazi kwenye kituo kilichomsaidia aepukane na uraibu, anatarajia kuzindua kituo chake mwenyewe kiitwacho Arise and Shine Centre