У нас вы можете посмотреть бесплатно Chapati za chenene zenye virutubisho vyatambulika Kisumu или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Ufugaji wa wadudu aina ya chenene umekuwa maarufu humu nchini, haswa baada ya mifugo kuangamia kutokana na ukame. Hata hivyo, wakenya wengi bado hawajazoea ulaji wa wadudu hao ambao huwa na virutubishi muhimu kwa afya ya binadamu. Lakini kama anavyoarifu Laura Otieno, Katika kaunti ya Kisumu, ulaji wa keki na chapati zilizopikwa kwa unga unaotokana na wadudu hao unashika kasi huku wataalamu wa afya wakisifia faida zake kwa afya ya binadamu