У нас вы можете посмотреть бесплатно Gachagua asema uchunguzi wa mashambulizi kanisani Othaya yamesitishwa na serikali. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Aliyekuwa Naibu wa Rais Rigathi Gachagua amebaini kuwa uchunguzi wa matukio ya mashambulizi kanisani witima Othaya yamesitishwa na serikali.Akidai kuwa matukio hayo yalikuwa njama iliyotekelezwa na Rais Ruto, waziri wa usalama wa ndani kipchumba Murkomen na kikundi maalum cha polisi kutoka Baragoi..Kwa upande wake naibu kinara wa Jubuilee Fred Matiangi amemkashifu Rais Ruto na wandani wake kwa kuendeleza siasa za unafiki nchini akisema huu ni wakati mwema wa kubadilisha uongozi nchini. Viongozi hawa wamezungumza katika hafla ya mazishi ya mamake Jamleck Kamua katika kaunti ya Muranga