У нас вы можете посмотреть бесплатно KWANINI TUNAKUWA WATUKUFU KWA KULA CHUMO LA HALALI | RIZIKI HUJA BILA UBAGUZI - SHEIKH OTHMAN MAALIM или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kutoka kwa ‘Umar bin Al-Khattwaab (Radhiya Allahu ‘anhu) amesema, nimemsikia Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) akisema: “Lau nyinyi mngemtegemea Allaah ukweli wa kumtegemea Angewaruzuku kama Anavyomruzuku ndege, anatoka asubuhi na njaa anarudi jioni ameshiba.” Kutoka kwenye Qur'an: “Na anayemuogopa Allaah Humtengenezea njia ya kuokoka (katika kila balaa). Na Humpa riziki kwa namna asiyoitazamia. Na anayemtegemea Allaah Yeye humtoshea.” Atw-Twalaaq: 2-3 Tazama Mawaidha mazuri ya: SHEIKH OTHMAN MAALIM Follow Us On: FACEBOOK: / aqonlinetv INSTAGRAM: / aqonlinetv TWITTER: / aqonlinetv WHATSAPP: https://chat.whatsapp.com/LTkso2pn287... TIKTOK: https://vm.tiktok.com/ZSJKAVXxK/ TELEGRAM: https://t.me/aqonlinetv #aqupdates #zanzibar #allahuakbar #allah #africa #mawaidha #trending #viral #dhulhijja #mawaidhamapya #sheikhkishki #othmanmaalim #ukumbusho #wasafitv #milardayotv #habari #globaltvonline #africatv #tvimaan #mahasintv #2023 #2024 #riziki