У нас вы можете посмотреть бесплатно KESI YA KUPINGA KIFUNGU 194 WALETA MAOMBI WASHINDA DHIDI YA JAMHURI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kesi hiyo ya Ombi la Kikatiba No.22482/2025 lililofunguliwa katika Mahakama kuu Masijala ndogo Mkoa Mwanza, ya Kupinga kifungu cha jinai namba 194 cha CPA na kanuni za ulinzi wa Mashahidi za mwaka 2025 na Wakili Godfrey Basasingohe dhidi ya Mwanasheria mkuu wa serikali (AG) na Mkurugenzi wa Mashtaka ya umma (DPP) Uwamuzi Imetolewa mbele ya majiji watatu kwa njia ya mtandao ambapo mahakama imebaini kuwepo kwa mapungufu ya kisheria katika kifungu hicho cha 194 cha CPA ambacho kinalenga kuwaficha mashahidi wa upande wa serikali wanapotoa ushahidi wao